January 9, 2018 Bodi ya Mikopo ya Elimu
ya Juu (HESBL) imebainisha kuwa waajiri ambao wameshindwa kurejesha
fedha za Mikopo za waajiriwa wao hawana uzalendo na wanakwamisha
wanafunzi wasipate mikopo kwa wakati.
Fidelis Joseph ni Mkurugenzi wa Urejeshwaji wa Mikopo (HESBL), ambapo ameelezea changamoto wanazokumbana nazo kutoka kwa waajiri ambao hawarejeshi fedha hizo, pia ameelezea walivyofika katika ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) leo.

Comments
Post a Comment