Majibu ya Hamisa na Zari vipi kuzaa na Diamond kumewafanya kuwa mastaa?

Hamisa Mobetto na Zari the bosslady ni wanawake ambao kwa sasa wamekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na mashabiki zao wamekuwa wakihusisha gumzo hilo kutokana na wao kuzaa na staa Diamond Platnumz  japo kuwa hawako sawa kutokana na kuonekana mara kadhaa wakirushiana vijembe kupitia kwenye mitandao ya kijamii.

Comments